Mkuu mbona hiyo bei ndo bei ya mpya kabisa tena unachana mwenyewe kwenye box tena ukiongeza elfu50 tu unajichukulia kitu cha LED SERIES 5 kipya kabisa kwa Mwanza hiyo.
Yes thats why kukawa na sehemu ya private msgs-ndio matumizi yake. Si lazima kila mtu kwenye public ajue baadh ya mambo.ila ukionyesha interest ndio unapewa details zaidi.
Sasa wewe ndugu yangu hujui kufanya biashara sasa si uweke picha ya chombo chenyewe ili kila mtu ajionee.Weka picha na simu yako hii itakuwa rahisi kukuoata na kuongea deal
hi
Is anyone else seriously looking to buy a HD television? If you tell me the size you need, HD/Full HD, make preference I can give you a quote and buy this for you from the UK. It will arrive by 1 Feb 2013, let me know by PM as soon as possible.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.