Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,795
- 6,442
Wakuu naomba mrejee hapo.Ninauza laptop yangu mpya kabisa kwa bei ya 640,000.Maelewano yapo.Specifications zake ni hizi hapa
Ram 4gb.,Hard disk drive 750gb,processor 2.5.Ninaiuza siku chache baada ya kuinunua koz nimepata matatizo nyumbani.Warranty mwaka mmoja.Inakuja na charger,user guide manual na cd yake.Nipigie au text hapa tufanye mazungumzo.Nipo dar