Yako ni aina gani na ni shilingi ngapi?Njoeni pixel. Updates mapema sana.View attachment 1642026
Pixel 3a. Nilinunua 450,000. Kuna jamaa huwa anaziingiza kutoka nje. Brand newYako ni aina gani na ni shilingi ngapi?
Kariakoo hakuna?Pixel 3a. Nilinunua 450,000. Kuna jamaa huwa anaziingiza kutoka nje. Brand new
Sidhani aisee. Hizi simu haziuzwi huku bongo na sio famous sana huku kwetu.Kariakoo hakuna?
Huyo jamaa yuko wapiPixel 3a. Nilinunua 450,000. Kuna jamaa huwa anaziingiza kutoka nje. Brand new
Anaitwa Mkala. Yupo maeneo ya Moroco.Huyo jamaa yuko wapi
Sijajua kma bado zitakuwepoHuyo jamaa yuko wapi
Hauna mawasiliano naeSijajua kma bado zitakuwepoView attachment 1642078
Hii simu inakaa na chaji kweli, historia yake mwanzoni zilikuwa ni simu mbovu sana upande wa chajiNjoeni pixel. Updates mapema sana.View attachment 1642026
+255 713 666 624Hauna mawasiliano nae
Inakaa. Inamaliza siku na 6 hrs to 7 hrs screen on timeHii simu inakaa na chaji kweli, historia yake mwanzoni zilikuwa ni simu mbovu sana upande wa chaji
Simu ikishakuwa na fingerprint kwa nyuma inanikata stimu kinyama yaan,why wasiweke ubavuni kama xiomi simu nyingi wanaweka ubavuniSijajua kma bado zitakuwepoView attachment 1642078
Mm kwangu ni freshi tuSimu ikishakuwa na fingerprint kwa nyuma inanikata stimu kinyama yaan,why wasiweke ubavuni kama xiomi simu nyingi wanaweka ubavuni
[emoji23][emoji23][emoji23]kama infinix.Simu ikishakuwa na fingerprint kwa nyuma inanikata stimu kinyama yaan,why wasiweke ubavuni kama xiomi simu nyingi wanaweka ubavuni