SAMSUNG J3 FOR SALE.

chindo

Senior Member
Oct 6, 2013
166
101
Habarini wadau.

Kama tangazo linavyojieleza nauza Samsung J3 kwa Tshs 250k

Sababu ya kuuza ni kua m2 niliyemnunulia hajaipenda hivyo nahitaji kiasi kidogo niongeze ili ninunue simu nyingine.

Mnunuzi atapata pamoja na accesories zote kama charger na earphones.
476c231b5aff06ce6e5df00292562583.jpg

Piga simu kupitia
Mob / App +255 654 646 092
 
Mnunulie iphone 7.... akiikataa na hiyo niuzie mimi.
 
Aisee mtu anakataa zawadi? Au ni mke! Basi watanzania hatujui appreciation. Anyways utapata mtu tu wa kuinunua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom