Samsung GT- ACE 5830i

Samsung GT- ACE 5830i

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
habar wandugu..
Samahan kama nitakua nimekosea kuiname hiyo simu..
hii simu jamani nikirecord video baadae nikizitafuta sizioni kabisa..nimeenda mafaili yoote sizioni ila picha naziona..anaejua kwenye hii simu zinajificha wap jaman anisaidie..ninayo samsung galaxy tab naziona bila shida ila huku ndo sizioni tangu nimeinunua..asanteni
 
Jamani naombeni msaada hizi video zinajificha wap?
 
Hizo video ambazo huzioni kwenye hyo simu ndio hizo unaziona kwenye tab?
 
Hizo video ambazo huzioni kwenye hyo simu ndio hizo unaziona kwenye tab?

hapana nikichukua video kwenye tab naziona lakini hii simu nyingine nikichukua video sioni.kabisa nimetafuta kwenye galary sioni yaani nimepekuapekua simu yote hakuna ndugu sijui.zinakimbilia wap jamani
 
Tatizo ni kuwa hausave unaporekodi hizo video hata mimi ilikuwa inanitokea maana nina simu kama yako. Ukiwa unarekodi video ukimaliza unapress stop, pembeni ya ile button ya stop upande wa kushoto kuna button ina square ukipress hiyo button ndio video inakuwa inajisave. Ukiangalia kwenye gallery lazima utaikuta.
 
Back
Top Bottom