Ni simu nzuri ina miezi mitano tokea niinunue. Ina risiti na kila kitu chake mpaka box lake.
Bei laki mbili na 30 tu karibu sana 0655101826
Mzigo uko ndani ya dar!
Hilo box na chaja na headphone ndio zake na zipo hazijawahi hata kutumiwa .ila simu hio nimeeka sample maana sina simu ya kuipigia picha hii samsung ninayouza maana ndio ninayoitumia hapa.
Mwenye kuhitaji simu ataamini nilichosema hapo juu ila kwa anaetaka mjadala wa malumbano ya hoja hata amini hadi kiama!
Msema ukweli ni mpenz wa mungu.
Hilo box na chaja na headphone ndio zake na zipo hazijawahi hata kutumiwa .ila simu hio nimeeka sample maana sina simu ya kuipigia picha hii samsung ninayouza maana ndio ninayoitumia hapa.
JE HIYO SIMU NI YAKO? KWA NININ UNAUZA?
NAULIZA HILO SWALI KWANI KUNA WATU WAMEOKOTA AU KUIBA VITU VIKIWA NA RISITI ZAKE, NA BAADA YA KUNUNUA UAINGIA KWENY MATATIZO MENGINE