Samsung grand 2

middo lulyheart

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
260
Reaction score
98
Habari wana jamvi, hivi ni kitu gani special kwenye simu hii hasa ukilinganisha na simu nyingine za android
 
Nimeitumia hii simu kwa kama miezi 6, haina jipya lolote coz specs zake ni Mid range smartphone, bora ununue Galaxy S4 used ata kwa Tsh 350 utapata.

Kioo sio quality sana, battery iko weak coz kwa siku nilikua nachaji ata mara 2 full charge kwa matumizi ya kawaida (siwashi data muda wote, hafu zaidi ya masaa 3 natumia Wi-Fi ambayo ni battery friendly zaidi ya mobile data).

Ila performance kwa matumizi ya kawaida ni fresh, coz ya hizi specifications: Kioo kikubwa cha 5.2", RAM ya 1.5GB is more than enough, processor 4 za Cortex A7 clocked at 1.2Ghz ziko fasta, GPU Adreno 305 ipo poa kwenye issue za graphics, battery ndio dogo niliona, ila unaweza change, camera iko kawaida tu, na kama una save vitu vingi ina size ya kutosha na unaweza expand through Memory card.

Also shape yake ni ile ile kama Samsung Galaxy nyingi, rounded corner with big ugly home button
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ