longalonga
Member
- Aug 22, 2007
- 17
- 2
Kuna zenye kupokea SIM na kuna za Wifi tupu, pia inabidi uangalie kama mtandao unaingiliana na mitandao ya TZ maana marekani kuna network hazitumii GSM
Hiyo 7.7 ni balaa, ndio ina sehemu ya kuingiza line na unatumia internet through cellular data kama simu za kawaida na pia kupitia WiFi..ina Pixel Density kubwa ~196 ppi zaidi ya Tablets zote na Pia kioo chake cha 7.7" kimetengenezwa kwa Super AMOLED Plus kikubwa na kinafaa kwa Movies..
Kwa hapa bongo bei yake inakwendaje mkuu?
ni kweli kama alivyosema Kang na RealMan,,Kuna zenye kupokea SIM na kuna za Wifi tupu, pia inabidi uangalie kama mtandao unaingiliana na mitandao ya TZ maana marekani kuna network hazitumii GSM