Samsung galaxy tab 3, 7 inch for sale,new

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
838
Reaction score
135
Nauza samsung galaxy mpya tab 3 kama inavyoonekana kwa sh laki 5 na nusu kwa mwenye kuhitaji piga simu 0768808819 ama ni pm
 

Attachments

  • JF.jpg
    24.9 KB · Views: 122
  • jf2.jpg
    41.4 KB · Views: 116
Nauza samsung galaxy mpya tab 3 kama inavyoonekana kwa sh laki 5 na nusu kwa mwenye kuhitaji piga simu 0768808819 ama ni pm

Picha ya laptop ni ya nini?
 
nimekosea kuweka laptop hapo,ni samsung galaxy ndio tangazo
 
Na bei ni ya lap top au, maana binafsi nimeshindwa hata kukuelewa.
 
ni bei ya samsung galaxy tab 3,laptop haiuzwi imekosewa kuwekwa kweney tangazo
 
Umegundua ina kasoro gani ?una risiti halali nikutafute ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…