Samsung galaxy tab 2 inauzwa

Samsung galaxy tab 2 inauzwa

sams101

Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Aisee nina tablet mpya kabisa mali ya samsunng galaxy tab 2 nauza nichek kupitia whatapp 213551426306
 
Weka picha hicho kimeo naweza nikawa teja''lako.
 
Aisee nina tablet mpya kabisa mali ya samsunng galaxy tab 2 nauza nichek kupitia whatapp 213551426306
 

Attachments

  • 1378129647779.jpg
    1378129647779.jpg
    32 KB · Views: 277
Unaweza kututajia bei ili tuweze kujua kama tukutafute au la!
 
Laki 480 ni mpya kabisa naiuza coz nimepewa zawadi ya ipaf 3
 
Em weka namba zako bax manake umeweka cjui ata nn hyoo
 
niko algeria mkubwa ila bidhaa iko hapo dar es salaam hiyo ndo number yangu unaweza kunichek kwa pm
 
Mkuu ni model gani kusema tu Galaxy Tab 2.haitoshi ungeweka specs zake ili tujilipue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom