D Dr. Mafilimbi Member Joined Apr 29, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Apr 30, 2015 #1 Habari! Nina samsung galaxy tab 10.1 inashindwa kusoma line ya simu na ukiangalia kwenye settings hakuna option ya mobile network. Nimejaribu kuireset lakin tatizo bado liko vilevile.. naomba msaada wenu wadau.. Asante
Habari! Nina samsung galaxy tab 10.1 inashindwa kusoma line ya simu na ukiangalia kwenye settings hakuna option ya mobile network. Nimejaribu kuireset lakin tatizo bado liko vilevile.. naomba msaada wenu wadau.. Asante