Samsung Galaxy SII

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,270
Reaction score
1,111
Habari zenu wanajamvi? Kwa kifupi naomba kuuliza kuhusiana na simu tajwa hapo juu.
Ni hivi kuna mtu anataka niuzia (ameitumia yeye/used) kwa laki mbili na nusu hiyo simu. Swali ni kuwa bei hiyo ni reasonable au napigwa. Naomba msaada wenu jamani. CHIEF MKWAWA, Young Master. Na pia wengine mtakaoguswa na post hii msaada tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
ni reasonable. ni ngumu kupata android yenye ram 1gig kwa 250k.
 

Ni reasonable mkuu, you may take it...ila make sure sio mchina.
 
Hyo bei sio reasonable coz kwa used galaxy sll cku hz hazfiki bei hyo,mi huwa nachukua hzo cm used from uk
 
Ni reasonable mkuu, you may take it...ila make sure sio mchina.
Thanks a lot Young Master :first: kwa ushauri. how do I make sure kuwa hiyo simu sio mchina mkuu? maana kesho mchana ndio naenda kuchukua mizigo kwa mujibu wa miadi yetu.
Nitafurahi sana kama nitapata majibu ya hilo swali langu.
 
Last edited by a moderator:
Hyo bei sio reasonable coz kwa used galaxy sll cku hz hazfiki bei hyo,mi huwa nachukua hzo cm used from uk
mkuu Cicinho sio kuwa tuna connection na watu wa mbele kaka kama vile wewe unavyokuwa na kumbuka kuwa hii ni ishu ya ghafla kwangu maana sikutegemea na madukani hizi vitu bado kwa sie watu wa KCC ni mzigo ndio maana kwa muda kidogo tulikuwa tunahaha na Tecno na brand of the like japo na akina sie tuweze kutumia Android devices tupate access ya JF 24/7 na vitu kama hivyo.
But thanks kwa mchango wako hali kadhalika.:second:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…