Nafikiri huuzi. Wakati m1 mtu anafungua DUKA la cm
Labda tochi mana m1 tochi kwa bei ya jumla unapata hata 100 then unafungua duka la vitochi tuM 1 unafungua duka la simu gani?
Mbona hujibu pm mkuuImetumika mwezi 1 tu ni dharura tu imesababisha iuzwe. Milioni 1 tu anayetaka pm. Mazungumzo yapo
Nilikutumia nyingine nikakwambia naomba contact yako. Basi naomba ni pm contact yakoTangu jana nilijibu kiongozi