Samsung galaxy s6 duo 4 sale..

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,229
Iko katika hali nzuri
Inatumia laini 2
Ina screen protector ya 3D
Ina crack ndogo na haionekani sana kwenye mfuniko.
Bei 480k.. inapungua kidogo.
More details.. whatsap0715 193 810, mbagala..
Chaja bure..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina tatzo gan? Imetumika muda gan

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

 
Daaah....imetumika miez sita yote hiyo? I can't imagine wangapi wametongozwa kupitia hiyo simu. Sitaki mikosi mimi...

Jus kidding broh, hahahaha
Haina scratches zozote mm nikupe 400k?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…