Samsung galaxy S4

Samsung galaxy S4

Parasite

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
613
Reaction score
580
Wadau polen na majukumu mwenye simu Samsung galaxy S4 from Korea ambayo bado ipo fresh aongee bei yakuuza then aniPM
 
my dream phone... sema bei bado mkasi... :sick:
 
Samsung Galaxy S4 Active 4G 2 Gb Ram inauzwa best price 400,000 ntafute hapa 0765838708 ipo Arusha
 
Acha kumdanganya..S4 yenyewe hupati kwa bei hiyo sembuse S4 active?!!..labda ka clone au ilotumika sana.
 
Nina S4 Active nauza hyo bei ipo Arusha nzima kabisa ina miezi 6 tuu
 
Nenda Samsung shop ulizia bei yake..hizo zenu uzianeni hukohuko, haina hata mwezi hii..
 
Sa ni bora kununua iyo used ambayo ni genuine kwa bei kubwa au izo miclone zenu ambazo hazina hata guarantee?
 
nikushauri tu. usiangalie sana bei chee angalia na ubora wa simu. kwanza fanya utafiti ujue mpya inauzwaje. ndo uende kununua used na ununue simu yenye warranty coz ikiharibika hupati tabu yoyote. kuliko kununu simu haina warranty itakugharimu sana. kioo tu chenyewe ni lak3
 
Jamani hivi mnauza simu za uhakika au makopo ya simu hibu msomeni vidhuri
 
Warranty huwazinafanyakazi pale simu itakapokuwa imezima yenyewe au betry mbovu au maswala ya Software ila endapo imeingia kwenye maji unevunja kioo hyo imekula kwako mzee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom