Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
hv!!!! Hakunaga hakimiliki katika inventing!!! Maana hyo wireless chare baadae had G tide na Techno watakuja na zakwaoooo!!!
Wale wapenzi wa android competitor mkubwa wa iphone na Nokia lumia bwana samsung galaxy s4 atazinduliwa April this year Samsung galaxy s3ilizinduliwa may lastyear lakini s4 atakuwa na super feature ya wireless charging na uwezo mkubwa battery wa 2600 mah tofauti na s3(2100 mah )
Naomba kuwasilisha
Sourcenews.cnet.com/8301-1035_3-57565335-94/samsung-galaxy-s4-reportedly-set-to-launch-in-april/
anhaaa... Sasa inventor wakwanza wa hii kitu n naniii????
hakuna kitu kama wireless charging. hiyo ya Samsung itatumia mart au utepe ambao utakuwa umeunganishwa na waya wa umeme halafu simu inawekwa juu yake.
ni sawa na kuchaji simu kutumia dock kama ninavyotumia mimi na Xperia Acro S
hii inaweza kua simu inayotumia meego/sailfish/ubuntu
maana haina button
Inductive charging (also known as "wireless charging") uses an electromagnetic field to transfer energy between two objects. This is usually done with a charging station. Energy is sent through an inductive coupling to an electrical device, which can then use that energy to charge batteries or run the device.hakuna kitu kama wireless charging. hiyo ya Samsung itatumia mart au utepe ambao utakuwa umeunganishwa na waya wa umeme halafu simu inawekwa juu yake.
ni sawa na kuchaji simu kutumia dock kama ninavyotumia mimi na Xperia Acro S
Naona kuna umuhimu wa kununua Developer Phone maana 2013 mobile OS zinakua nyingi sana
hii inaweza kua simu inayotumia meego/sailfish/ubuntu
maana haina button
mkuu hizo developer phone zenyewe hazirun os zote mfano nexus cha muhimu tafta n9
kwan android n lazma kue na botton?
yah lazma utarudi vipi back? Utabonyezaje menu? Utarudi vipi home?
Ubuntu kama umeiona au meego au sailfish zina swipe ni balaa just unacheza na vidole tu bila button. Sjaicheki vizuri bb10 ila nao nahisi watakua hivo hivo maana wao nao ni meegowanabe
nexus kwan ipo madukan??? Ila nokia walikua wachoyo kuztoa zle n950 chacheeee
kwa rumors zilizopo watatumia chip zao wenyewe za exynos octa core (yani zipo nane). Sasa processor ya octa core na battery ya 2600mah tegemea simu itakayokaa na charge masaa 5. Maana galaxy s3 ina quad core (nne) na battery ya 2100 lakin still haitoshelez matumizi ya siku.
Ila mi bado nasubiria nokia ya february nione atakavvyowatetemesha iphone na samsung.