Samsung galaxy s4 mpyaa 16gb laki 7 tu....

waziry

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
55
Reaction score
8
kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa pm. ni simu mpya original. utacheki mwenyewe kabla ya kuto pesa.
Kuna pcs 9 tu.
ni mpya kabisa ndani ya box.
first come first served...... nipo DAR
 
taja bei mkuu ili tuone nn au wapi pa kuanzia

wewe mwenyewe unaweza kuja kuziona, na kuhakiki uoriginal wake. pia bei unaongea ni maelewano.
nicheki pm unipe namba yako ya simu kama upo serious
 
Vp mkuu naitaji moja contact n 0713239001
 
kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa pm. ni simu mpya original. utacheki mwenyewe kabla ya kuto pesa.
Kuna pcs 9 tu.
ni mpya kabisa ndani ya box.
first come first served...... nipo DAR

we jamaa mkali sana, fanya kuniPM namba yako fastaa
 
Nataka moja leo. Pesa ipo mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…