Ace hutaki?
Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zoteNahitaji simu tajwa hapo juu, iwe katika hali nzuri. bajeti yangu ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia tuwasiliane kama vipi.
Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote
Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote
natamani sana ila mwisho wangu ni 300. Mwanangu kama vipi nipe hiyo simu. internal memory ni ngapi? ram? Nijibj pliz
Mi nina hamu na s3 kamili, sio mini.