Mkuu naona kama unaota flani hivi!. Ok labda kutokana na mida uliyo post post yako.
Hakuna mahali nilipoandika uniPM namba yangu iko pale, haina haja ya kuweka picha kwani huwezi itambua
clone kwa kutazama picha. status yake ni mpya (boxed).
Unafanya biashara halafu unaringia wateja?? Umeambiwa weka picha unaleta kiburi, kuna mtu hajui hiyo S3 inafananaje ingawa kila siku anaionaga, mwingine akiona picha tu anavutiwa.