Vipiii network inaadisplay no serviceHabari wakuu!naomba msaada juu ya samsung galaxy s3 ambayo nili upgrade kutoka android v4.0 kwenda4.3via odin ila baada yakumaliza inanimbia "emergency call only"na inafull signal na ukifanya manual network search inaleta mtandao but ukiselect inakupa bado emergency call only na kabla sijaupgrade ilikuwa inafanya kazi vizuri,msaada wakuu.nawasilisha
imei inaanzia herufi gani je hiyo imei umeutuma TCRA jibu liko safi? km safi Tumia Samsung tool ambayao ina option ya repair nertwork ( umesema baseband ipo na imei ) just repair network use z3xbox or other toolsHabari wakuu!naomba msaada juu ya samsung galaxy s3 ambayo nili upgrade kutoka android v4.0 kwenda4.3via odin ila baada yakumaliza inanimbia "emergency call only"na inafull signal na ukifanya manual network search inaleta mtandao but ukiselect inakupa bado emergency call only na kabla sijaupgrade ilikuwa inafanya kazi vizuri,msaada wakuu.nawasilisha
TCRA inaleta jibu na inaleta model sawa kabisa,but mkuuimei inaanzia herufi gani je hiyo imei umeutuma TCRA jibu liko safi? km safi Tumia Samsung tool ambayao ina option ya repair nertwork ( umesema baseband ipo na imei ) just repair network use z3xbox or other tools
imei inaanzia herufi gani je hiyo imei
INEANZIA 35umeutuma TCRA jibu liko safi? km safi Tumia Samsung tool ambayao ina option ya repair nertwork ( umesema baseband ipo na imei ) just repair network use z3xbox or other tools
TCRA nimeharibu inaleta all correct infornation za simu but mkuu iyo tool ni nilazima box hamna ambayo haina haja ya kutumia boximei inaanzia herufi gani je hiyo imei umeutuma TCRA jibu liko safi? km safi Tumia Samsung tool ambayao ina option ya repair nertwork ( umesema baseband ipo na imei ) just repair network use z3xbox or other tools
lazima utumie tool poleInaanzia 35 mkuu.