Habari.
Wazee nineletewa simu tajwa hapo juu, inatatizo.
Hii simu ukiichomeka katika charge iwe USB katika PC au katika AC (socket) Touch screen yake inapunguza sensivity ya kurespond.
Kusema kweli huwez kuandika msg, kufungua lock wala kupokea cm, lazima uchomoe kwanza.
Tatizo nn wakuu?
How to overcome it?
Nimegoogle sijapata soln.
Samsung Galaxy S1 GT-i9000