KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,933
Salaam wakuu...
...kuna biashara hapo juu ya
simu aina ya Samsung galaxy
S III,nimeitumia miezi kama
miwili ivi yani ni mpya
kabisa wakuu.
Ina charger,skrin
protekta,earphone na hata
ukihitaji manual na box lake pia utapewa kwa kifupi ipo kwenye good
condition,naiuza coz nipo na S4 thats why naiuza wakuu.
Karibuni kwa atakayehitaji
naomba ani-PM nimjulishe
jinsi gani ya ku-meet,nipo
Arusha ila hata kama utaihitaji
kwa Dar pia itawezekana coz
nna mtu huwa anakuja huko kila siku kwa basi naweza nikampa
ikafika huko.
NI PM,THANX.