Samsung Galaxy S.3 for sale

Price: $630, its white new with all accessories email me emilrama@gmail.com
Kaka, kaka, chonde wife wangu asiiione hii, maana kesi niliyonayo juu ya hii simu si ndogo! Nilimnunulia iPhone 4s imemshinda kutumia sasa toka asikie Galaxy SIII ameitaka balaa, maana yeye anapenda android!!!
 
Dola ya nini bongo?
Kama kuinunua ameinunua kwa dollar, na kodi ameilipia kwa dollar, akiuza kwa madafu yasiyo stebo si atashindwa kurudisha hata pesa aliyonunulia? We kama unaitaka piga hesabu bei ya dollar kwa leo kisha lipa pesa ya Bongo uone kama ataikataa!
630x1,570=980,100, bei safi kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom