SAMSUNG GALAXY NOTE4

mbari

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
511
Reaction score
424
Msaada wadau.. simu yangu aina ya samsung galaxy note4 inaleta mushkeri sana.
Mwanzon kabisa ilikuwa vzr napata netwk ya kupiga simu na internet kwa ujumla.
Ila muda ulivyosogea ikaanza kuleta shida.. picha linaanza tu ikawa inachagua chip... tigo ikagoma kusoma... mara halotel ikagoma kusoma... mara airtel nayo ivo ivo... mwisho ikakubali vodacom!!!
Yaaan natumia voda s kwa kupenda n kilazma tu...
Nawasilisha tatizo langu kwa wataalamu wa electronic accessories
 
Muachage kununua masimu ya hovyo hovyo, haina guarantee??
 
Ukiweka laini ya tigo au halotel inaandikajee .......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…