Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Sep 5, 2015 #1 Wadau nina simu tajwa hapo juu inasoma 4g sasa huku niliko hakuna 4g ninaomba nifahamu jinsi ya kuifanyia setting ili isome 3g kwa sababu kila nikijaribu kuiseti haitoi matokeo
Wadau nina simu tajwa hapo juu inasoma 4g sasa huku niliko hakuna 4g ninaomba nifahamu jinsi ya kuifanyia setting ili isome 3g kwa sababu kila nikijaribu kuiseti haitoi matokeo
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 5, 2015 #2 Hio ni either 1. Ya kichina 2. Original ila sio international version Marekani mitandao ya simu hspa ambayo ni 3g wanaiita 4g. Kuhakiki zaidi nenda setting then about soma aina ya hio note 3
Hio ni either 1. Ya kichina 2. Original ila sio international version Marekani mitandao ya simu hspa ambayo ni 3g wanaiita 4g. Kuhakiki zaidi nenda setting then about soma aina ya hio note 3