Mkuu mbona hata Note 3 zipo madukani bado... and So far Note 3 ni brand bora sana ya Samsung..
Wapige mkuu, wala usiwahurumieMimi kazi yangu ni kuuza simu, mengine nawaachia wanahistoria.
Karibuni.
WaTanzania kweli tunapenda kulalamika, simu hakuna alieziona akazikagua kama ni original au copy. Ila watu mna doubt kutokana na bei kua chini tu. Kama uliinunua laki 7 ni kipindi hicho, sasa hivi nenda kupatana nenda zoom nenda kariakoo zimeshuka bei. Ikiwa Samsung hawatoi tena haimaanishi zilizokua kwenye stock zinatupwa.
Kuna mtu lazima apigwe hapa, hasa wale ambao hatujui simu original na fakeHata mwandiko wako unaonyesha jinsi Rohoni unavyojisuta!
Kuna mtu lazima apigwe hapa, hasa wale ambao hatujui simu original na fake
Nahisi ni adimu kwa huyo mtu mmoja, ifikie sehemu tukubaliane kuwa bei ya kitu chochote siku kinapotoka huwa iko juu lakini siku zinavoenda zinashuka kutokana na bidhaa zinazoendana na hiyo kuingia sokoni na kikubwa ni ushindani wa makampuni.Maduka mengine walichukua mzigo mwingi waje wauze kwa bei ya kutupa??
Simu ya laki nane auze kwa laki4 baada ya simu kuwa adimu sokoni?
Kwani NOTE 3 zina tatizo? Au hujanielewa nilichojaribu kueleza.?Jinsi ninavyojua huwa zinarudishwa kwa mawakala then kiwandani lakini madukani hutazikuta zikiuzwa labda used
Mfano mzuri ni fedha, Tanzania ikisema tutatoa elfu kumi ya coin haimaanishi uliyonayo mfukoni haifai/ukatupe....maana yake B.O.T haitazitoa ila zilizoko mtaani zitaendelea kutumika hadi ziishe inamaana zikienda bank hazirudi kwa mtumiaji.Hivi hizi simu note 4 mbona matoleo yake yashaisha madukani wewe unazipatia wapi? Mana kiwandani hawaproduce tena. Tena nilikua nauliza note 5 nikaambiwa hazitoki tena hata madukani hamna
NOTE 4 NOTE 5 ZIPO. Maduka mangap ulizunguka ukaambiwa hivyo/ mkoa gani?
Atakua yuko katavi huyoNOTE 4 NOTE 5 ZIPO. Maduka mangap ulizunguka ukaambiwa hivyo/ mkoa gani?
Mkuu fedha zinaondolewa kwenye mzunguko. Ona sasa hivi 500 ya noti haionekani. Vivyo hivyo hata simu huwa zinarudi kiwandani mana matoleo mapya yanakuwa yashatokaMfano mzuri ni fedha, Tanzania ikisema tutatoa elfu kumi ya coin haimaanishi uliyonayo mfukoni haifai/ukatupe....maana yake B.O.T haitazitoa ila zilizoko mtaani zitaendelea kutumika hadi ziishe inamaana zikienda bank hazirudi kwa mtumiaji.
Sambamba na simu ambazo ziko madukani zitaendelea kuuzwa hadi ziishe lakini kampuni haitazitoa tena na haimaanishi madukani zitaisha kwa siku moja.
Nahisi ni adimu kwa huyo mtu mmoja, ifikie sehemu tukubaliane kuwa bei ya kitu chochote siku kinapotoka huwa iko juu lakini siku zinavoenda zinashuka kutokana na bidhaa zinazoendana na hiyo kuingia sokoni na kikubwa ni ushindani wa makampuni.
Bei kupungua ni lazima.
Saa ivi samsung wametoa simu zenye fingerscaner unaweza kuiloki kwa kutumia sensation ya damu kupitia ngozi, kama vile A3,A5,etc NOTE 5, na zingine kama wanavyofanya apple. Hivyo basi kwa kuongeza hiyo sifa hakuna mtu wa kutafuta tena NOTE 3 kwa 800K wakati 600K/700K anapata product yenye sifa zaidi ya hiyo kwa mantiki za kiteknolojia na ushindani wa biashara lazima ishuke bei kwa hiyo usishangae ikiwa ivyo.
Na huyo anaeuza hiyo bei unayoishangaa anaweza kuwa anataka kuufuta huo mzigo dukani ili awe na latest version .
Mkuu ninaishi nje ya bongo huu mwaka wangu wa 10, lakini bongo narudi kila wakati. Hiyo pekee ni elimu tosha kwamba simu ninazijua. Kwanza huku hatununua simu kwa cash, unaweza lipa hadi mwaka mzima. Tatizo simu nyingi za bongo ni fakeAtakua yuko katavi huyo
Zinazorudi sio zenye shida, ni zile ambazo zimekaa muda mrefu sokoni na matoleo mapya yametoka. Hivyo wanapisha simu mpya ziuzwe mkuu. Hiyo inakuwa ni outdated ndio mana zinarudi. Nenda kwa wakala wa Samsung kaulize labda ulikuwa huna hii information. Ila kama ni fake utairejesha kwa nani?????Kwani NOTE 3 zina tatizo? Au hujanielewa nilichojaribu kueleza.?
Nahisi ukijikita kwenye uhalisia wa mada itapendeza lakini ili la kuniunganisha kwenye watu ambao wananunua vitu bila dhamana hii itapelekea tuende pm tuoneshane hizo dhamana ulizonazo wewe ili kuonesha umakini baina yangu na wewe kitu ambacho sio kusudio la mada.Siongei kwa kubahatisha wala kwa mazoea ndugu..
Tunaongelea simu na si maandazi ya kilala yanapungua ubora!
Kila kampuni ina utaratibu wake!
Ninyi ndio wapewa waranty za maandishi vimeo vikiwabumia mnakuja kututia lawama madukani.
Acha ubishi mkuu, izo pesa bado zipo hazijaisha kwenye mzunguko kama unavodai.Mkuu fedha zinaondolewa kwenye mzunguko. Ona sasa hivi 500 ya noti haionekani. Vivyo hivyo hata simu huwa zinarudi kiwandani mana matoleo mapya yanakuwa yashatoka
Unaweza kunitajia outdated version zilizorudi na update version zilizotumika ku-replace hizo outdated version ambazo saa ivi haziko sokoni?Zinazorudi sio zenye shida, ni zile ambazo zimekaa muda mrefu sokoni na matoleo mapya yametoka. Hivyo wanapisha simu mpya ziuzwe mkuu. Hiyo inakuwa ni outdated ndio mana zinarudi. Nenda kwa wakala wa Samsung kaulize labda ulikuwa huna hii information. Ila kama ni fake utairejesha kwa nani?????
Nahisi ukijikita kwenye uhalisia wa mada itapendeza lakini ili la kuniunganisha kwenye watu ambao wananunua vitu bila dhamana hii itapelekea tuende pm tuoneshane hizo dhamana ulizonazo wewe ili kuonesha umakini baina yangu na wewe kitu ambacho sio kusudio la mada.
Naomba tuishie hapa kile ninachokijua maana huu ukinzani si mzuri.