Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
Install CPU-Z ipo play store kisha compare specs za simu yako. Ukiona zina utofaut ujue hyo Ni fake
sinunui Samsung kwa sababu zmejaa fake!!!
karibu TECNO PHANTOM 5, Ndani internal 32 GB, ram 3gb na pembeni nimeweka memory card ya 16gb...

Pole sana ni fakeNauliza wakuu nina samsung garax s5 mini nikifungua appstore ili ni download app ina load tu haidounload mwenye utaaram naomba anisaidie kwa hilo
Nauliza wakuu nina samsung garax s5 mini nikifungua appstore ili ni download app ina load tu haidounload mwenye utaaram naomba anisaidie kwa hilo
sinunui Samsung kwa sababu zmejaa fake!!!
karibu TECNO PHANTOM 5, Ndani internal 32 GB, ram 3gb na pembeni nimeweka memory card ya 16gb...
Habarin,SIM YANGU SAMSUNG GALAXY NOTE 3..INTERNAL MEMORY YAKE INA 16GB,LAKINI NIKIINGIZA VITU INASEMA INSUFICIENC SPACE
Te!te!te!..... Uwe unatangaza na bei!!!!!Karibu Iphone 6+, internal memory 128GB, no expandable storage.
Mh! Hebu nieleweshen hapa wakuu. Eti Samsung galaxy note 3 yenye internal 16GB!. What i know all the note III's are embedded with 32GB internal storage capacity. au hyo ni note 3 ipi?!