Samsung galaxy note 2 inauzwa

Samsung galaxy note 2 inauzwa

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
336
Reaction score
145
Habari zenu, Kuna rafiki yang anauza Samsung Galaxy Note II imekua upgraded kutoka 4.1.2 kwenda 4.3 version! Na uwezo wake n 32gb ndani! Black in colour! Na ana makava ya kutosha ya gold na mengineo! Na bado n mpyaa! Kwa maelezo zaid mpigie namb hii hapa +255 718 337 470 (anapatikana whatsapp).
Pamoja tujenge taifa letu!
Thanks
 
Mbona hayupo whatsapp?
habari zenu, kuna rafiki yang anauza samsung galaxy note ii imekua upgraded kutoka 4.1.2 kwenda 4.3 version! Na uwezo wake n 32gb ndani! Black in colour! Na ana makava ya kutosha ya gold na mengineo! Na bado n mpyaa! Kwa maelezo zaid mpigie namb hii hapa +255 718 337 470 (anapatikana whatsapp).
Pamoja tujenge taifa letu!
Thanks
 
Habari zenu, Kuna rafiki yang anauza Samsung Galaxy Note II imekua upgraded kutoka 4.1.2 kwenda 4.3 version! Na uwezo wake n 32gb ndani! Black in colour! Na ana makava ya kutosha ya gold na mengineo! Na bado n mpyaa! Kwa maelezo zaid mpigie namb hii hapa +255 718 337 470
call_skype_logo.png
+255 718 337 470 (anapatikana whatsapp).
Pamoja tujenge taifa letu!
Thanks

Weka Bei mpigie namba hii ndo nini?


Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype
 
Weka Bei mpigie namba hii ndo nini?


Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype

price .........

Wabongo kiswahili tabu sana, m siuzi hyo cm anayeuza mwenye namb hyo na m hyo sio namb yang! Kama unataka mpigie, kama hutaki fany yako mengine!
M najua kanuni za jamii forum, ila m sio dalali kama wengine mtu sim sio yake anataka adalalie yeye! Ndo mana nkatoa namb ya jamaa ili apigiwe cm yeye na auze kwa bei yake!
Nadhan mmenifaham!
Ahsante
 
Wabongo kiswahili tabu sana, m siuzi hyo cm anayeuza mwenye namb hyo na m hyo sio namb yang! Kama unataka mpigie, kama hutaki fany yako mengine!
M najua kanuni za jamii forum, ila m sio dalali kama wengine mtu sim sio yake anataka adalalie yeye! Ndo mana nkatoa namb ya jamaa ili apigiwe cm yeye na auze kwa bei yake!
Nadhan mmenifaham!
Ahsante

Mkuu kama we sio dalali uneweka tangazo la nini. Kanuni gani inakwambia ufanye link bila maelezo, tukitapeliwa utasema nini?

Inaonekana huu ni utapeli mkubwa. Angalia wenzako wanaoweka matangazo wanagoa specs na price if possible na picha pia.

Hujalazimishwa kupost tangazo na kama vipi ww lifute tu sababu halina maana zaidi ya utapeli mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom