Habar wakuu,
naombeni msaada, nilikua na update software kwa kutumia internet ya wireless, then baada ya kumaliza nikawa naistall baada ya hapo ikajiereboot then ikawa inawaka then inazima haimalizi kuwaka. Nilijalibu kuingiza kwenye recovery mode but inagoma inaniingiza kwenye downloading mode. Nikajalibu kuinstall new firmware kwa kutumia odini ikashindikana na kies pia ikagoma,
naomba msaada wenu tafadhar
nimetumia 3.10 ikagoma nikatumia 3.9 ikagoma nikatumia 3.6
mkuu nimejalibu tena kwa kutumia odin hiyo ila imegoma. Sasa cjui nitumie firmware ipi maybe ipo compatible na cm hii
ilikua android 4.1.2, betry ilikua 38%.
ilikua android 4.1.2, betry ilikua 38%.
mkuu kwenye recovery mode inagoma kwenda. Inakubali kwenye download mode tu
no sikua na root access
HII HAPA MKUUKama hivyo tuambie error message unayoipata kutoka Odin..
Je una experience na adb commands?
HII HAPA MKUU
<ID:0/006> Added!!
<OSM> Enter CS for MD5..
<OSM> Check MD5.. Do not unplug the cable..
<OSM> Please wait..
<OSM> N7100XXALJ1_N7100OLBALJ1_N7100DXALIA_HOME.tar.md5 is valid.
<OSM> Checking MD5 finished Sucessfully..
<OSM> Leave CS..
<ID:0/006> Odin v.3 engine (ID:6)..
<ID:0/006> File analysis..
<ID:0/006> SetupConnection..
<ID:0/006> Initialzation..
<ID:0/006> Set PIT file..
<ID:0/006> DO NOT TURN OFF TARGET!!
<ID:0/006>
<ID:0/006> Re-Partition operation failed.
<ID:0/006> Added!!
<OSM> All threads completed. (succeed 0 / failed 1)
HII HAPA MKUU
<ID:0/006> Added!!
<OSM> Enter CS for MD5..
<OSM> Check MD5.. Do not unplug the cable..
<OSM> Please wait..
<OSM> N7100XXALJ1_N7100OLBALJ1_N7100DXALIA_HOME.tar.md5 is valid.
<OSM> Checking MD5 finished Sucessfully..
<OSM> Leave CS..
<ID:0/006> Odin v.3 engine (ID:6)..
<ID:0/006> File analysis..
<ID:0/006> SetupConnection..
<ID:0/006> Initialzation..
<ID:0/006> Set PIT file..
<ID:0/006> DO NOT TURN OFF TARGET!!
<ID:0/006>
<ID:0/006> Re-Partition operation failed.
<ID:0/006> Added!!
<OSM> All threads completed. (succeed 0 / failed 1)
niletee kesho nipo buguruni hapa
home+volume up+ cha kuwasha simu hii ndio recovery
home+ volume down+ cha kuwasha simu hio ndio download mode.
kabla ya ku-download os update ulikua unatumia rom gani na recovery gani.. Pia tujuze battery level uliyokuwa nayo wakati unaflash new updates..
kwani ukiwa una flash na odin unapata message gan
tumia odin3-v1. 85. Mkuu
umetumia odin version gani?
next time hakikisha battery level ipo juu ya 85% kabla ya kuflash simu yako mkuu.. Ni muhimu sanakuzingatia hilo..
ulikua unatumia custom rom kabla, ulikua na root access?
mimi nmekuulza inavogoma kwwny odin inakupa error yoyote? Inawezekana hyo firmware unayo flash ina matatizo..download firmware kutoka sammobile.com
kama hivyo tuambie error message unayoipata kutoka odin..
Je una experience na adb commands?
ume uncheck re partition? Hpo ndo uliharibu mambo...hutakiwi kucheck re partition mkuu
wakuu hali inakua ngum nimempelekea muheshimiwa hapo wa buguruni kajalibu kasema bootloader imeharibika nifsanyeje wakuu ni njia gani ya kufanya hapo??repartition.? Duh! Hapo ndipo tatizo lilipoanzia mkuu.. Unashauriwa kusoma maelekezo yote kabla ya kutumia odin