Arabian Eagle
Member
- Oct 1, 2018
- 71
- 46
Imetumika na nini wakati hapo unakuwa unaitoa kwenye chaji?Inakuja 99% kwa sababu 1% inakuwa Imetumika
Hata kama hujapiga wala kutumia internet
hata yangu ila nimepotezeaImetumika na nini wakati hapo unakuwa unaitoa kwenye chaji?
Badili battery tu.Habari zenu wakuu
Simu yangu sielewi ina tatizo la betri ama laa. Nikicharge ikifika 100% nikichomoa inakuja 99% au saa zingine 95%
Na si chini ya watu wa3 mpaka wa4 nimewasikia wanalalamikia swala hili.
Kama yupo anaeelewa kusolve tatizo hili basi naomba msaada.
Simu Inatumia umeme muda wote ikiwa onhata yangu ila nimepotezea
Battery iko sawaBadili battery tu.
Umejiridhishaje kuwa ni betri. ?Battery iko sawa
Inawezekana.. nilinunua charger original 15000Nadhani problem ni charger,natumia samsung na original charger sijawah ona hyo shd ila ukitumia ya mtu ndo utaona.
Umejiridhishaje kuwa ni betri. ?
Battery yako ina muda gan?
Ni iliyokuja na simu au ulinunua tu?
Imewahi kunifanyi hivyo mara 1 tu.Hilo tatizo sijui limetokea wapi maana hata Mimi natumia galaxy J7 na nasumbuliwa na hilo tatizo halafu ikifika sometimes hata 53% to below inazima.
Badilisha betri mkuu. Sasa mimi nipo grand prime g530h ipo na same tatizo.Battery iliyokuja na simu. Na huu mwaka ni watatu
Inawezekana.. nilinunua charger original 15000
But sahivi inafika mpaka 0% ndo inazima au?Imewahi kunifanyi hivyo mara 1 tu.
Kitendo cha kuchomoa charg tu charg inatumia kama 5%..Imetumika na nini wakati hapo unakuwa unaitoa kwenye chaji?