Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
Habary wakuu Samsung galaxy pocket gt 51003 imegoma kuwaka since a week ......naombeni ushauli nianze kuifanyaje ili irudi katk hali yake,,Mara ya kwanza ilikuwa inaanfika "play store stopped" , then camera name radio vilikuwa havionekani kwenye simu yaani sijui vimepotea vipi ........kwa hiyo nianzie wapi ili niirudixhe katika hali take
.......Am done...........
.......Am done...........