SM-G360T1metro pc = T-Mobile, wantumia band zao pekee dunia nzima kama 1700mhz kwenye 3G na 700mhz kwenye 4G.
hapo labda ujaribu bahati yako kwenye service mode au software ya qualcomm kama utaweza ku enable hidden bands,
ni model gani? nenda setting then about kuijua model yake.
*#2263#SM-G360T1
Habari ya Chief... Sorry nilikuwa naomba msaada wako me natumia Samsung S4 T-mobile ila nashangaa kuna line nashindwa tumia kabsa kama ukiweka airtel inaandika insert simcard, nikiweka voda inakubal tatzo kwenye mtandao haikubal kwangu inakubal halotel na tigo tu bac nini tatzo naomba nsaidie kwann inachagua lain na soln yake brometro pc = T-Mobile, wantumia band zao pekee dunia nzima kama 1700mhz kwenye 3G na 700mhz kwenye 4G.
hapo labda ujaribu bahati yako kwenye service mode au software ya qualcomm kama utaweza ku enable hidden bands,
ni model gani? nenda setting then about kuijua model yake.
hapo GSM ndio 2G, wcdma ndio 3G, na LTE ndio 4G.
hapo sababu pengine imefungiwa na hio mitandao (blacklist),Habari ya Chief... Sorry nilikuwa naomba msaada wako me natumia Samsung S4 T-mobile ila nashangaa kuna line nashindwa tumia kabsa kama ukiweka airtel inaandika insert simcard, nikiweka voda inakubal tatzo kwenye mtandao haikubal kwangu inakubal halotel na tigo tu bac nini tatzo naomba nsaidie kwann inachagua lain na soln yake bro
yap voda na TTCL wanatumia band moja, ili ku confirm zaidi ukiwa mjini eka tigo pia wana 4G band moja na Voda na TTCL.Daaah mkubwa unajua sana daah hongera kaka kwa kushare maarifa,
Mimi nina note4 ya at&t daah yani ishanizngua mpaka basi yani inakubali line ya halotel peke ake na yenyewe ni internwt tu, Ttcl ndo inasoma fresh , Voda mpaka nikiwa dar tu ,Airtel haisom kabisa mpaka nahc inakubali line zs 4g tu daah masmart phone haya
ahsantee sana kaka mkwawa sasa simu nyangu tatizo ni kwamba nikiweka kwenye hizo band za cwdma/LTE network inakata yaani inakuwa no service nashindwa kulelewa kaka na pia unaelewa nn kuhusu metropcs kublock network?hapo GSM ndio 2G, wcdma ndio 3G, na LTE ndio 4G.
sababu 2G inafanya kazi gsm achana nayo.
anza na WCDMA, tigo voda, airtel, halotel na wengine wote kasoro smart wanatumia band 2100 hivyo ukiclick kwenye wcdma band na kuikuta hio 2100 hakikisha unatick (kialama cha nyota) ili itumike.
kwenye LTE yaani 4G tick 800 na 1800 kama zipo kama wameandika kinamba 800 ni sawa na 20 na 1800 ni sawa na 9 kama sijakosea.
kama njia za kawaida haziweEkani step inayofuata ni kuwaona wataalamu wanaotoa network lock. hasa wale wanaotumia box.ahsantee sana kaka mkwawa sasa simu nyangu tatizo ni kwamba nikiweka kwenye hizo band za cwdma/LTE network inakata yaani inakuwa no service nashindwa kulelewa kaka na pia unaelewa nn kuhusu metropcs kublock network?
Anhaa Hapo unamaanisha kuflash sioo maana inasoma tyu E kwahio akiflash inaeza kusoma ata H+ au LTE aukama njia za kawaida haziweEkani step inayofuata ni kuwaona wataalamu wanaotoa network lock. hasa wale wanaotumia box.
kublock network si kuifungia itumie na mtandao wao tu badala ya mtandao mwengine?.