Mkuu kama ni Posta wako wengi sana kwenye corido...msiwe mnanunua Smartphone mkononi....bahati yako umeuziwa feki. Ungeuziwa ya wizi, mwenyewe yuko na mapolice wanaitrace...ukiishika na Police hao nyuma yako na unaambiwa aloiba hii simu aliua mtu..ungekuwa jela sahiv