Samsung galax note 2 inauzwa

Samsung galax note 2 inauzwa

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
Nisimu iliyotumika miezi 2 tu nipo Dar es salaaam haina tatizo lolote orginal bei 450,000 maongezi yapo. Karibuni 0712690760
 
您可以并不严重,是一种冒牌手提电话
 
Katika vitu ambavyo ni hatari kuvifanya,ni pamoja na kununua simu au laptop iliyotumika.kuna case nyingi sana ambapo wanunuzi wa simu used wamekutwa na kesi zisizowahusu,mimi huwa sishauri kununua simu used hasa hizi smartphone..............hapana ,silengi kumharibia mtu biashara,ila ni angalizo tu.
 
Ukitaka tukandikishane kwamwenyekiti waserikari zamitaa mkuu wawila mbunge na waziri wa katiba nasheria ilikupata uhakika wa uhalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom