Samsung galax j3 inauzwa

Tozii Nyambii

Senior Member
Apr 1, 2017
144
77
Cm inauzwa Samsung galax j3 pro imetumika miezi miwili 2
3d11479d1ae574b8a282483a9ea67d54.jpg
5a30d4aa56a97c8fa74d1ba63ba53e96.jpg

Bei laki 320 njoo pm
 
Hapana,

Wewendiye uliyekosea.

Kaandika "laki 320".

Laki 320 ni (laki mara 320) ni milioni 32.

Kama anauza 320,000 alichotakiwa kuandika ni "laki tatu elfu ishirini" au 320,000.

Anaweza kukung'utwa hivihivi.
KIFIMBO CHEZA NA WACHAFUZI WA LUGHA
 
Laki 280 ni 28,000,000.

Kama vile laki 2 ilivyo 200,000.

Wewe sio tu huelewi.

Bali pia hutaki kuelewa na unang'ang'ania ujinga.

Hata hiyo simu yako unaweza kusema ipo moja wakati haipo.

Kwa sababu hujui kuhesabu.
 
Laki 280 ni 28,000,000.

Kama vile laki 2 ilivyo 200,000.

Wewe sio tu huelewi.

Bali pia hutaki kuelewa na unang'ang'ania ujinga.

Hata hiyo simu yako unaweza kusema ipo moja wakati haipo.

Kwa sababu hujui kuhesabu.
Watu wagumu kweli kuelewa! Ingawa imeeleweka alikuwa ana maana gani, lakini usahihi huwezi kusema au kuandika laki 320 (laki mia tatu na ishirini) ukimaanisha LAKI TATU NA ISHIRINI! Angeandika laki 3 na ishirini (elfu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom