samsung galax ace plus mpya bei chee

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
wadau nauza samsung galax S plus ina miezi mitatu tu naiuza laki tatu[300,000].kama uko tayari cheki na mimi kupitia 0713 806 766.
 
Ungeweza kuweka kapikcha, wengine hatuzifahamu kwa majina
 
Ungeweza kuweka kapikcha, wengine hatuzifahamu kwa majina

baba v jaribu hata kuigoogle tu itakuja kila kitu unachotaka....by the way nmeshindwa kuiweka picha yake hapa nadhan network inasumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…