Simu yangu ni samsung galaxy duos. Gt-s7562 tangu ni upgrade firmware imekuwa na sauti ya juu sana ya kuongea hata nikipunguza mpaka minimum volume.
Bado sauti inakuwa juu, ni kama vile option ya volume up and down haifanyi kazi.
Nisaidieni hapo wadau!
Thanks.