T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Feb 6, 2012 #1 Habari za wakati wadau.nauza samsung b5702 kwa shilingi laki 110000.nimetumia muda mfupi.inatumia lain 2.ni original.ina 1gb memory card.betry na chaja vipo safi.ukiipenda ni pm au andika hapa hapa kwa mapatano.
Habari za wakati wadau.nauza samsung b5702 kwa shilingi laki 110000.nimetumia muda mfupi.inatumia lain 2.ni original.ina 1gb memory card.betry na chaja vipo safi.ukiipenda ni pm au andika hapa hapa kwa mapatano.
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Feb 6, 2012 #2 Upo wapi me npo mwanza
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Feb 6, 2012 Thread starter #3 ngosha2011 said: Upo wapi me npo mwanza Click to expand... nipo tabora manispaa.kitu ni nzuri sana mkuu
ngosha2011 said: Upo wapi me npo mwanza Click to expand... nipo tabora manispaa.kitu ni nzuri sana mkuu
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,137 Feb 6, 2012 #4 tizo1 said: nipo tabora manispaa.kitu ni nzuri sana mkuu Click to expand... Nipo Kigoma nitaipataje!
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Feb 6, 2012 Thread starter #5 Sometimes said: Nipo Kigoma nitaipataje! Click to expand... naweza kuituma kwa nbs bus clasic.tukifunga biashara naituma any time.pesa utampa atakayekupa simu.
Sometimes said: Nipo Kigoma nitaipataje! Click to expand... naweza kuituma kwa nbs bus clasic.tukifunga biashara naituma any time.pesa utampa atakayekupa simu.
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,137 Feb 6, 2012 #6 tizo1 said: naweza kuituma kwa nbs bus clasic.tukifunga biashara naituma any time.pesa utampa atakayekupa simu. Click to expand... Poa. Punguza hiyo kumi ibaki kamili kama unaridhia!
tizo1 said: naweza kuituma kwa nbs bus clasic.tukifunga biashara naituma any time.pesa utampa atakayekupa simu. Click to expand... Poa. Punguza hiyo kumi ibaki kamili kama unaridhia!
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 160 Feb 7, 2012 Thread starter #7 Sometimes said: Poa. Punguza hiyo kumi ibaki kamili kama unaridhia! Click to expand... nbs wamesitisha kuja huko...wakianza tuambiane....au shauli jins ya kufanya.poa nitakupa kwa laki coz ninashida
Sometimes said: Poa. Punguza hiyo kumi ibaki kamili kama unaridhia! Click to expand... nbs wamesitisha kuja huko...wakianza tuambiane....au shauli jins ya kufanya.poa nitakupa kwa laki coz ninashida