Sh ngapi unauza?Simu ina miezi miwili tangu itoke dukani.
Exchange kwa mwenye samsung A10s aongezee na hela tutakayokubaliana.
4GB RAM, 64GB storage
5000mAh battery
Fast charging, type c charger,inajaza battery kwa muda mfupi sana.
Quad camera 48 mp, 8mp,5mp,5mp
Sided fingerprints
0624984818
🤣🤣🤣🤣 dukani ni bei gani....?Kama kuiuza ntauza 340,000.
🤣🤣🤣 sawa mzee umesomeka kila la kheri🤣380,000
dukani ni bei gani....?
Chukua 150kKama kuiuza ntauza 340,000.