W William daffa Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5 Reaction score 3 Jan 5, 2022 #1 Imetumika kidogo sana bado mpya kama unavoiona hapo, haina tatizo lolote lile 32GB Storage Ram 2GB Android 11 one UI 3.1 Tsh 180,000/= tu Bei ya OFA hii inapatikana Mwanza igoma Mawasiliano : 0742689131
Imetumika kidogo sana bado mpya kama unavoiona hapo, haina tatizo lolote lile 32GB Storage Ram 2GB Android 11 one UI 3.1 Tsh 180,000/= tu Bei ya OFA hii inapatikana Mwanza igoma Mawasiliano : 0742689131
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,598 Reaction score 5,188 Jan 5, 2022 #2 Kiswahili kigumu title ni mpya ,content imetumika kidogo, sema tu simu used nauza ueleweke haraka.
W William daffa Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5 Reaction score 3 Jan 5, 2022 Thread starter #3 Kilangi masanja said: Kiswahili kigumu title ni mpya ,content imetumika kidogo, sema tu simu used nauza ueleweke haraka. Click to expand... Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi
Kilangi masanja said: Kiswahili kigumu title ni mpya ,content imetumika kidogo, sema tu simu used nauza ueleweke haraka. Click to expand... Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi
Ndondocha mkuu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,517 Reaction score 3,040 Jan 5, 2022 #4 William daffa said: Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi Click to expand... Ukipata a11 nishtue boss
William daffa said: Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi Click to expand... Ukipata a11 nishtue boss
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,445 Reaction score 185,638 Jan 5, 2022 #5 Ahsante Kwa taarifa...
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,598 Reaction score 5,188 Jan 5, 2022 #6 William daffa said: Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi Click to expand... Kwa hio kwako kitu used ni kipyaaa kana ulivyoandika?
William daffa said: Hayo ni maoni yako mkuu, kila mtu ana uhuru huo wa kuona vitu kwa mtazamo wake na wala haipingwi Click to expand... Kwa hio kwako kitu used ni kipyaaa kana ulivyoandika?
W William daffa Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5 Reaction score 3 Jan 5, 2022 Thread starter #7 Kilangi masanja said: Kwa hio kwako kitu used ni kipyaaa kana ulivyoandika? Click to expand... Jifunze kuandika kwanza alafu ndo uje ukosoe vizuri
Kilangi masanja said: Kwa hio kwako kitu used ni kipyaaa kana ulivyoandika? Click to expand... Jifunze kuandika kwanza alafu ndo uje ukosoe vizuri