Samsung 6 edge inauzwa

biasharaTz

Senior Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
163
Reaction score
79
Habari wakuu
Simu aina ya Samsung 6 edge inauzwa.
Ina crake kwenye kioo lakini nyembamba sana sana haionekani kwa urahisi. Bei ni 450,000/= maelewano yapo. Rangi ya gold, imetumika miezi 3. Bado ina hali nzuri sana
Simu inapatikana Dar es Salaam.
Kwa picha na maelezo zaidi call|whatsapp no 0755411455
 
Hizo simu na display,sawa na ukimwi mwananyamala hospital
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…