Simu i mpya. Nimepewa kama zawadi na jamaa yangu toka nairobi. Sijaona apps zake. Ina kitu wanaita talkback. Nikigusa chochote inakitamka. Kwa mfano nikibonyeza l inarudia kwa maneno. Hii inaonekana kama ni kwa ajili ya watu wasiona. Apps zinazoonekana ni messege, intrenet, camera, gallery na s planner. Uwezi ku wipe down kuweza kuona notification zilizoingia. Model yake ni j3