Samattaapata timu Ulaya (dimba)
Mshambuliaji wa kimataifa waTanzaniaanayekipiga katika klabu yaTP Mazembeya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Mbwana Samattaamethibitisha kupata timu ya kwenda kucheza soka Ulaya na kuwa mipango yake inaenda vizuri?
Siwezi kusema mengi, kilichopo ni kuwa mipango inaendelea na kwa jinsi mambo yanavyokwenda sina wasiwasi wa kwenda Ulaya kusaka ulaji mpya, kilichobaki ni kuomba uhai?.
asije akawa kama bobanibobani hadi leo hajapata dili nyingine mara nyingi huwa bahati haiji mara mbiliAjitahidi kuwa mature, si kusaka ulaji, ni kufanya kazi. Aende kwa mentality ya kufanya kazi na ndo maana watu kama Ronaldo na Toure bado wako kweye gemu, kama ni ulaji tayari wanao sema wanaichukulia ni kazi zaidi. Ama mtu kama Framini yuko arsenal si kwa pesa zaidi. Watz tunakosa hiki kitu kwenye vichwa vyetu na ndo maana tunapenda shortcut za fasta.
Timu ya ubelgigi inayocheza kigi kuu na upo nafasi ya sita
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.
Pia alimiss wana na viroba.ni kweli atasaini miaka minne na nusu hivi haruna moshi anajisikiaje maana yeye alikwenda sweden alivyorudi akasema nimerudi kwa sababu hakuna vijiwe vya bangi kama mansese!!
Genk Fc ni klabu kubwa sana ubelgiji na ulaya kwa ujumla.
sema naskia dogo anapiga dem flan kinondon,ambae alikua video model wa mwanamuzik mmoja anaechanganya ladha mara kufokafoka mara kubana pua wa pale manzese,huyo dem anasoma chuo kimoja katikat ya jiji la dar,nyeti zinadai kuwa dem kapitiwa na muuza chips wa huko kinondoni mwenye virusi vya ukimwi,anaedaiwa kusambaza kwa makusudi virusi hivyo..kama ni kweli,tuombe mungu iwe alitumia kinga ili tupate mbongo wa kwanza kucheza uefa
Mlitaka asitomb.e
CC: Evelyn Salt
Ubeligiji mbona soka lao liko chini.
Soka lao lipo chini kulinganisha na la wapi?
Angalia FIFA lanking ,kisha urudi hapa
Bado ibrahim ajib tu