Samia's administration creates rifts which divide the nation

Kingereza ni kingi sana mbaya kwa afya, ila wanasiasa wengi hiyo ndo mbinu yao ya kudevide baadhi ya watu ambao huanza kwa kujiona bora kuliko wengine, hata Jk wa kwanza aliwatenga watu fulani miaka ile.

"Kudevide"-> divide sio devide. We ni mhanga wa cha malkia tuliza mkinda
 
Very likely the dude G4N is a member of the highly frustrated Sukuma Gang that enjoyed favours of the late autocratic despot. Time is out for them, they have to be tolerant and learn the hard way on new way of how civilized governments are run
Go through my previous threads before giving such a naive conclusion. I'm not obsequious.
 
Watanganyika hamna jema. Alikuwapo John anasokota atakavyo mkamsema dikteta, Sasa mna Samia mnamsema hatoshi. Kiukweli nyie mmezoea kusokotwa tuu
 
Who can tell her the truth?
 
Kiingereza kibovu, sijui umedesa wapi
 
Kiingereza kibovu, sijui umedesa wapi
Mkuu usinichukulie poa. Nisome kwenye "column" yangu kule The Guardian (sitoitaja kwasabb ya kulinda ID yangu ya JF).
 
Kufeli kwake kwa form4 napo kunasababisha kukosa confidens
Kama huu niukweli tujiandae kisaikolojia. Wakati hali ya hewa inazidi kuwa mbaya kule marekani wanataka kumpa mmoja wa majasusi na alie wahinkuwa mkuu wa idara yao nyeti ya usalama cia kuwa next president. Baba liokoe taifa la Tz.
 
How can a divided nation further divided? You mustn't ask something which is so obvious, your "hero", a fallen dictator is responsible. SUKUMA GANG AT WORK
 
Tatizo ni cheo kikubwa kwake
Nani angefaa kuwa rais kwa wakati huu kwa maoni yako?. Kumbuka huyu ni rais akifuata katiba ya nchi hakujipeleka mwenyewe katika nafasi ile.

Tupunguze lawama na kutoridhika, ni kielelezo cha udhaifu wetu wenyewe kama jamii ya kitanzania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…