Mlitaka kuichafua nchi iwe uwanja wa vita iwe kama Liberia ya miaka ya 2000 mwanzoni kwamba mwenye nguvu ndio atakayekula siku hiyo. Kwamba mwenye bunduki ya kisasa ndio atakayepata kila anachokitaka.
Sasa mbona mkuu wako anaogopa kufanya sherehe kitaifa kwa kuwaangusha maadui zake oct29 🤣🤣🤣
Ye ni kusema tumepitia kipindi kigumu tumepitia kipindi kigumu..

Tunasubiri kwa hamu kuona ikitangazwa kitaifa siku hiyo tukiwaona kwenye Tv mkipiga ngoma mkiwa mmebeba picha za maiti zile mkimtukuza Allah kwa kuwasaidia kuwaangusha maadui waliotaka kuwapora ugali wenu ...😁

Huyu unadhani ana aibu? Huyu mtu hana elimu. Mtu asiyekuwa na elimu hana aibu pia. Wewe humuoni hana hata habari, ndio kwanza anazidi kujisifu kwa mauji.
Samia yeye anaona mauaji aliyowafanyia, wahanga na familia zao wanastahili.
Sio mpenda haki. hana hata chembechembe zac utu, ubinadamu.
Kauli zake zinathibisha hayo kama hizi "kwanini mliruhusu vijana wenu watoke nje", "nguvu iliyotumika inastahili", "waulizeni vijana wa Tanganyika walichokipata Oct, 29"