Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema alikasirishwa kuona makundi ya watu wakisubiri usafiri usiku kwenye vituo vya daladala, ambapo ameeleza kuwa changamoto hiyo itamalizwa karibuni.
Rais anakerwa na usafiri kuliko utekaji na mauaji.
Mwenyekiti wa CCM anakerwa na usafiri lakini hakerwi na mwanachama wake na aliyewahi kuwa Mwenezi kupotea