GE2025 Samia: Kuanzia Januari, 2026 kutakuwa na mageuzi makubwa ya utoaji wa huduma kwenye mwendokasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Samia anapenda kupita na upepo wa jambo fulani ili azipate hizo kura.
================
"Tukapomaliza barabara zote, ni fursa muhimu kwa sekta binafsi kupata kazi ya kubeba abiria na kurudisha, kazi hiyo kwa kiasi hatutaki kuifanya sisi serikali bali sekta binafsi wataingiza mabasi yao na wafanye uendeshaji wa shughuli hizo", ameeleza Dkt. Samia.

Amewaahidi wakazi wa Dar es Salaam kuwa kuanzia Januari, 2026 kutakuwa na mageuzi makubwa ya utoaji wa huduma ya miundombinu ya mwendokasi.

Samia ameyasema hayo akizungumza kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 21, 2025

Your browser is not able to display this video.
 
Maana yake dawa anayo ila anasubiria jan 2026.
 
Tenda ya Mwendokasi atampa Rostam, Abdul na Mchengerwa mhuni mmoja kutoka genge lake la mafisadi.
 
Kama utafika..nakuombea!unachukiwa sana hii haijapata wai tokea leo nipo mahali nasikiliza speech yake jamaa wa pembeni akanimaind na kunitukana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…