Watani zangu Wapare na nyie hamnaga Shukrani. Mm nikajua Ni vile vya Jack Ma vimeingia huko Gonja Mahore, kumbe Ndoo na sabuni za vipande.Mfa maji haachi kutapatapa.
Vifaa vya kujikinga na Corona ipi? hapa upareni?
Anashindwa kupeleka vifaa vya kufundishia kwenye shule ya Secondari KWIZU iliyopo nyumbani kwao na iliyokuwa ya mwisho kitaifa 2019 kwenye matokeo ya mtihani kidato cha nne ahangaike na Corona ilijiondokea?.
Sisi tutamshughulikia kwa kutuita ndizi zilizolegea na matusi ya kirejareja kwa nurse wetu hapa kata ya Msindo eti anafaa kuwa nyumba ndogo ya Mbunge yeye.
Tutakushughulikia maana hatukukutuma hayo.
Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Mh. David Mathayo ametoa vifaa vya kunawia mikono katika maeneo yenye watu wengi ili kupunguza maambukizi ya virusi vya corona kwa wananchi Wilayani Same.
[emoji1428]Akipokea vifaa hivyo DC Same amewataka wananchi kufuata maelekezo ya serikali juu ya kujikinga na kuvitumia vifaa hivyo kwa usahihi.
[emoji1428]Amempongeza Mbunge huyo kwa kujali afya za wananchi wake na wadau wengine waliochangia; pia amewaomba wadau wengine kuchangia kwani bado kuna mahitaji.
[emoji1428]"Mimi nina kata 34 katika Wilaya. Hivyo nitagawa vifaa hivi katika kata zote 34 bila kujali jimbo kwani wote wanahitaji kujikinga" Alisema DC huyo.
[emoji1428]Naye Mkt. Wa CCM Wilaya Ndugu Isaya Mngulu aliwataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari, kujikinga na COVID 19.
" *Same is not same* "
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anawaona wapare wa SAME MAGHARIBI ni wajinga sana, ameona uchaguzi umekaribia kaanza kujipendekeza kwao.Mfa maji haachi kutapatapa.
Vifaa vya kujikinga na Corona ipi? hapa upareni?
Anashindwa kupeleka vifaa vya kufundishia kwenye shule ya Secondari KWIZU iliyopo nyumbani kwao na iliyokuwa ya mwisho kitaifa 2019 kwenye matokeo ya mtihani kidato cha nne ahangaike na Corona ilijiondokea?.
Sisi tutamshughulikia kwa kutuita ndizi zilizolegea na matusi ya kirejareja kwa nurse wetu hapa kata ya Msindo eti anafaa kuwa nyumba ndogo ya Mbunge yeye.
Tutakushughulikia maana hatukukutuma hayo.
Hata ungegawa vyakula kwa ajili ya kusaidia kuondoka njaa same,tutapokea Ila Kura October 2020 ,sahau hatukupi pamoja na kuwa imeingia na kugawa vifaa vya corona bado hatukuhitaji.Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Mh. David Mathayo ametoa vifaa vya kunawia mikono katika maeneo yenye watu wengi ili kupunguza maambukizi ya virusi vya corona kwa wananchi Wilayani Same.