Same sex legal status in Tanzania -We are the 7th highest non acceptance to LGBT!!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Illegal since 1864 in Zanzibar.
Illegal since 1899 as German East Africa and then as mainland Tanzania.
Penalty:
Male: 30 years to life imprisonment under Zanzibari law.
In mainland Tanzania, 25 years imprisonment for males, and for females, 5 years imprisonment or a 500,000 shilling fine.

According to the 2007 Pew Global Attitudes Project, 95 percent of Tanzanian residents believed that homosexuality is a way of life that society should not accept, which was the seventh-highest rate of non-acceptance in the 45 countries surveyed.

Hiki ni kipande cha taarifa kutoka google.

LGBT rights in Tanzania - Wikipedia
 
Umasikini unaoendekezwa na viongozi wetu unapelekea kukubali mambo yanayoweza kuangamiza watoto wetu.

Ushoga ni uovu na kwangu utaendelea kuwa uovu siku zote.
 
sajaona sehemu yoyote TANZANIA IKIKUBALI HUU UJINGA
 
Serikali imetia saini gizani!Sisi hatujakubali ila serikali imekubali!!!!
Sakata la Makonda limetufanya tuyajue yanayoendelea chini ya kapeti
 
yako mengi yanaondelea chini ya kapeti hatuyajui unaeza kuta tushauzwa kitambo sana
 
Illegal since 1864 in Zanzibar.
Illegal since 1899 as German East Africa and then as mainland Tanzania.
Penalty:
Male: 30 years to life imprisonment under Zanzibari law.
In mainland Tanzania, 25 years imprisonment for males, and for females, 5 years imprisonment or a 500,000 shilling fine.

According to the 2007 Pew Global Attitudes Project, 95 percent of Tanzanian residents believed that homosexuality is a way of life that society should not accept, which was the seventh-highest rate of non-acceptance in the 45 countries surveyed.

Hiki ni kipande cha taarifa kutoka google.
Kwa kutuandikia haya unataka kutufanya tuione nchi yetu na Watanzania kama watu wasioendana na wakati kwa hiyo waukubali ushoga?Wanyama tu hawakubali ushoga,sembuse wanadamu!Acheni kutulea ushetani wenu nchini mwetu,kama mnatamani ushoga hamieni Marekani na Ulaya mkaolewe na wanaume wenzenu,msituletee laana nchini mwetu.
 
Kwa kutuandikia haya unataka kutufanya tuione nchi yetu na Watanzania kama watu wasioendana na wakati kwa hiyo waukubali ushoga?Wanyama tu hawakubali ushoga,sembuse wanadamu!Acheni kutulea ushetani wenu nchini mwetu,kama mnatamani ushoga hamieni Marekani na Ulaya msituletee laana nchini mwetu.
Elewa upya hii post yangu
 
Muulizeni lissu na Fatuma Karume
 
Umasikini unaoendekezwa na viongozi wetu unapelekea kukubali mambo yanayoweza kuangamiza watoto wetu.

Ushoga ni uovu na kwangu utaendelea kuwa uovu siku zote.
Tundu lissu anatuambia eti ushoga ni ruksa kama unafanyikia gizani
 
Back
Top Bottom