Duh, Same shule yangu ninaipenda, ni chemchem ya Elimu hapa Tanzania, nitafanya bidii niweze kuishika, itakuwa dira nzuri ya maisha yangu.
Mkuu Anza kushika hizo lyrics za wimbo Wa shule, hopefully hawajabadilisha wimbo.
Anyways, Nina namba ya mkuu Wa shule wangu Wa zamani pale tulikuwa tunamwita Amitha Bachan, kwa sasa najua yupo mwingine.
All the best, ila nimekumbuka mbali mnooooo